Rais Samia Suluhu arejea nchini kutoka Msumbiji




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo  Juni 23,2021, akitokea Maputo Nchini Msumbiji  alikohudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. Ambapo kwenye Mkutano huo SADC imeridhia kuanzishwa kwa Kituo cha Haki za Binaadamu kitakachosaidia Nchi zinazokabiliwa na Athari za mabadiliko ya Tabia Nchi, kuweza kukabiliana na Janga la Covid 19 pamoja na kuangalia jinsi gani SADC itaweza kupambana na suala la Ugaidi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo  Juni 23,2021, akitokea Maputo Nchini Msumbiji  alikohudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. Ambapo kwenye Mkutano huo SADC imeridhia kuanzishwa kwa Kituo cha Haki za Binaadamu kitakachosaidia Nchi zinazokabiliwa na Athari za mabadiliko ya Tabia Nchi, kuweza kukabiliana na Janga la Covid 19 pamoja na kuangalia jinsi gani SADC itaweza kupambana na suala la Ugaidi.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango  alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo  Juni 23,2021, akitokea Maputo Nchini Msumbiji  alikohudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC.  Ambapo kwenye Mkutano huo SADC imeridhia kuanzishwa kwa Kituo cha Haki za Binaadamu kitakachosaidia Nchi zinazokabiliwa na Athari za mabadiliko ya Tabia Nchi, kuweza kukabiliana na Janga la Covid 19 pamoja na kuangalia jinsi gani SADC itaweza kupambana na suala la Ugaidi. (Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad