RASMI: Vodacom yatangaza kujitoa udhamini wa Ligi Kuu.



Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania imetangaza kujiondoa kwenye kudhamini Ligi Kuu Soka Tanzania Bara.

Taarifa iliyothibitisha leo Juni 8, na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo, Vodacom imekuwa ikipitia wakati ngumu wa kifedha hatua iliyosababisha kushindwa kutekeleza vipengele muhimu vya kimkataba ikiwamo kushindwa kutoa nauli kwa vilabu.

Vodacom walisaini mkataba wa miaka mitatu wa udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Mkataba huo ulikuwa na thamani ya Shillingi bilioni 9 ambapo kila mwaka ilikuwa Shilling bilioni 3 na ulitakiwa kumalizika msimu wa 2021/22.

Je, tunaweza kubadilika kutoka VPL mpaka APL? 


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad