Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
0Udaku SpecialJune 10, 2021
Msafara wa watu 33 wa Timu ya Taifa ya Malawi, unatarajiwa kutua Tanzania kesho tayari kwa mtanange wa Kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Taifa Stars hapo Juni 13, 2021, dimbani Benjamin Mkapa.