"Vijana wangu, tumieni mitandao vizuri" Rais Samia



"Wakati mwingine vijana mnatumia mitandao vibaya kwa kushutumu na kulaumu, ukishutumu, shutumu halafu toa na suluhisho na ukitoa tuhuma ziwe za kweli"
"Vijana wangu, tumieni mitandao vizuri, kama una jambo la kulaumu, laumu na toa ushauri , kama unakosoa kosoa na toa mapendekezo nini kifanyike" Rais SAMIA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad