Nyota maarufu wa filamu nchini Wema Sepetu ameomba asifuatiliwe kama ambavyo yeye hamfuatilii mtu.
Wema amesema hayo jana kwa msisitizo akizungumza na waaandishi wa habari kwenye part ya Birthday ya msanii #GigyMoney, hii ni baada watu mbalimbali kumnanga kupita kiasi kufuatia kupost matangazo ya Waganga wa Kienyeji kwenye ukurasa wake wa instagram.