Baada ya Kuzalishwa na Kuachwa Solemba, Poshy Qeen Awashukia Wanaume


Mwanadada Mwenye Muonekano Mzuri Hapa Tanzania (poshyqueeen ) Ameonyesha Kuchukizwa Na vitendo Vya Wanaume Wengi Wanavyo wafanyia Wanawake Hasa Kuwazalisha Na kuwaacha.

"Mda Mwingine Unaamua Kumzalia Mwanaume Kwa Sababu amekuonyesha Mapenzi Ya Kweli Kwako Ila Ukisha Mzalia Tuuu Mambo Hubadilika Kabisa, Kweli Nimeamini Wanaume Ni wapu*mbavu Sana"-Ameongea
-
Ikumbuke tuuu kuwa Poshyqueeen kwa Sasa Yupo Single Baada ya kuzalishwa na Kuachwa Njia Panda Kajifunza Jambo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad