Hatimaye Harmonize Amuomba Msamaha Sarah




Harmonize anapiga magoti kumuomba msamaha mkewe, Sarah kupitia wimbo anaosema utakuwepo kwenye album yake ijayo.
Akiweka video Instagram ya sehemu ya live performance yake inayopatika exclusively kupitia jukwaa la ceekvr, muimbaji huyo ameandika:

I'm sorry is the only Word I can use to the one of Beautiful Woman 👩 Alienipatia Miaka (4) Ya maisha Yake Nami Nikampatia (4) Yangu Tulipitia Mengi Ila itoshe Kusema Nilizingua Sanaa ..!!! Mpaka Mungu Alipoamua Kuniletea Mtoto Wangu wa Kwanza @zuuh_konde Na Ndo Ikawa Mwisho Wa Safari Yetu Ya Pamoja Yeesss KUTELEZA KUNATOKEA Naa Muungwana Huomba Radhi 🙏 ila Ningeonekana Mjinga Zaidi Ningeendelea Kumficha Mtoto Wangu .....!!! LOVE & RESPECT 👸 AND THIS ONE IS FOR YOU ...!!! IN MY NEXT ALBUM.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad