Web

Irene Uwoya na PESA zote Alizonazo Unaambiwa Hana Mpago wa Kujenga..Amjibu Shabiki

 


Star wa bongoMovie, IreneUwoya amemjibu shabiki yake kupitia ukurasa wake wa instagram kua hana mpango wa kujenga.

Shabiki;- ‘’si unaviwanja vingi irene? Ivi umeanza ata ujezi wa kiwanja angalau kimoja?’’

Irene:- ‘’Sina huo mpango’’




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad