Kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Yanga fainali ya Kombe la Shirikisho
0Udaku SpecialJuly 25, 2021
Kikosi cha Simba kitakachoanza leo Julai 25 dhidi ya Yanga fainali ya Kombe la Shirikisho, Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma mwisho wa reli huku mashabiki wakiamini kwamba wanaoichukua tena taji hilo walilotwaa msimu wa 2019/20.