Kikosi cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Simba fainali ya Kombe la Shirikisho
0Udaku SpecialJuly 25, 2021
Kikosi cha Yanga kitakachoanza leo Julai 25 dhidi ya Simba fainali ya Kombe la Shirikisho, Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma mwisho wa reli huku mashabiki wakiamini kwamba wanachukua taji hilo.