Mchekeshaji Dullavan Akiri Kutoka Kimapenzi na Jenipher Kanumba...



Kwenye kipindi cha WasafiFm kinacho endeshwa na DivaTheBoss, DullaVan Ashindwa kuficha Hisia zake na kusema ni kweli Jenipher Kanumba alikuwa ni mpenzi wake na alisaidiwa na Patrick Kanumba kumpata..

Amesema walianza kuwa marafiki lakini baadae wakajikuta tu ni wapenzi...Pia amesema kwa sasa wamepeana nafasi kidogo kutokana na ubize walionao Reposted from @udakuexpress DULLAVAN AKILI KUTOKA KIMAPENZI NA JENIPHER. Kwenye kipindi cha WasafiFm kinacho endeshwa na DivaTheBoss, DullaVan Ashindwa kuficha Hisia zake na kusema ni kweli Jenipher Kanumba ni mpenzi wake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad