Eudoxie ametangaza kuwa wameshindwana, huku sababu ikidaiwa ni tabia ya Grand P kupenda kuchepuka na kinadada wengine hali ambayo imekuwa ikimnyima raha Eudoxie na sasa kuamua kuachia ngazi kwa jamaa huyo
Eudoxie ni mtu maarufu nchini Ivory Coast wakati Grand P ni mwanamuziki wa Guinea.
#jicholauswazi