Sallam Sk "Diamond Platnumz Alichaguliwa Kuwania tuzo za BET akiwa na Ngoma Mbili tu Lazima Tumpigie Salute"


"Burnaboy alichaguliwa kuwania @betawards akiwa ameachia Album na kashinda Grammy, na @diamondplatnumz ameingia akiwa kaachia ngoma mbili 2 TU WAAH na JEJE ndo mjue kuwa Dimaond ni mkubwa sana Ngoma mbili tu mpaka BET awards.. hivyo kikawaida tu ilitakiwa tumuapriciate Diamond " - @sallam_sk


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad