Tanzia: Mtangazaji Gadner G Habash Afiwa na Mama yake



Reposted from @udakutz_ GADNER AFIWA NA MAMA YAKE _ Mtangazaji wa Traffic Jamz ya CloudsFM Gardner G. Habash amefiwa na Mama yake Mzazi. Gardner alitumia Instagram yake kuthibitisha taarifa hizo kwa kuandika ——— “Asante Mama yangu Mama Habash kwa kunileta Duniani, Asante Mungu kwa kumleta Mama yangu duniani, nakuomba Mola wangu umepokee kwa mapenzi yako” “Nakuomba Mola umpumzishe kwa amani, kwaheri Mama Habash, kwaheri Mama yangu, kwa kudra za Mungu upumzike kwa Amani, Bwana ametoa bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe” ——— @CaptainTanzania #RIPMamaHabash #RIPMamayetu 🙏🏿
Mtangazaji wa Traffic Jamz ya CloudsFM Gardner G. Habash amefiwa na Mama yake Mzazi.

Gardner alitumia Instagram yake kuthibitisha taarifa hizo kwa kuandika ——— “Asante Mama yangu Mama Habash kwa kunileta Duniani, Asante Mungu kwa kumleta Mama yangu duniani, nakuomba Mola wangu umepokee kwa mapenzi yako”

“Nakuomba Mola umpumzishe kwa amani, kwaheri Mama Habash, kwaheri Mama yangu, kwa kudra za Mungu upumzike kwa Amani, Bwana ametoa bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe” ——— @CaptainTanzania #RIPMamaHabash #RIPMamayetu 🙏🏿

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad