Tanzia:El Maamry afariki Dunia






El Maamry amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Enzi za uhai wake El Maamry amewahi kuongoza mpira wa Miguu katika ngazi mbalimbali ikiwemo Mwenyekiti wa FAT, Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) na Mjumbe wa CAF.

Rais wa Shirkisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, @wallacekaria ametoa pole kwa familia,ndugu, jamaa, marafiki na wanafamilia ya mpira wa miguu kwa kumpoteza mpendwa wao na kuwataka kuwa na subira katika kipindi hiki kigumu.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad