Vanessa MDEE Ajifungua Mtoto..Mwenyewe Afunguka Haya....



Baada ya taarifa kusambaa kuwa msanii wa Bongo Fleva @vanessamdee amepata mtoto kutokana na kuwa na ujauzito Kupitia ukurasa wake wa Instagram @vanessamdee amekanusha na kusema muache kupanikisha watu kuwa amejifungua na kuwauliza kuwa aliyewaambia kuwa yeye amejifungua ni nani..?#

Lakini rafiki yake wa Muda mrefu Aika Navykenzo amepigilia msumari kwa kucomment "ITS A BOY" katika Picha aliyopiga na Rotimi



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad