Web

Breaking News: CEO wa ASAS Afariki Dunia

Top Post Ad



Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Makampuni ya ASAS, Alhaj Faraj Ahmed Abri, amefariki dunia hii leo Agosti 13, 2021 Jijini Dar es Salaam, na familia yake imeomba waombolezaji wasiende nyumbani na atazikwa hii leo katika Makaburi ya Kisutu.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.