Kutoka Kwenye Insta Story Ya #SIMBA @diamondplatnumz Amepost Clip Ya Wimbo Ambao Amefanya Na Producer @masterkraft_ Pamoja @2niteflavour Unaoitwa #ABEKE Wimbo Ambao Upo Kwenye Album Ya Producer Huyo Kutoka Nchini NIGERIA, #SIMBA Kwenye Insta Story Hiyo Ametoa Ushauri Wake Ambao Kwa Mujibu Wake Anaamini Ndio Kinacho sababisha Muziki Wa Baadhi Ya Wasanii (BONGO) Wasivuke Nje Ya Mipaka.
-
-
Kwenye Insta Stiry Yake #SIMBA Ameandika.......... "Kutolisoma Soko Na Kuthubutu Ndio Kunawafanya Vijana Wengi Kushindwa Kuvuka Kimataifa Na Kuishia Kuimba Miziki Ileile Na Kubakia Pale Wakihofia Kwamba Wakiimba Muziki Nyumbani Watu Hawatoipenda Na Watatukanwa, Pasipo Kujua Kuwa Kuna Baadhi Ya Miziki Wanatakiwa Kuachia Kwaajili Ya Kutagert Soko Fulani Ili Kuongeza Mashabiki Na Soko Jipya Na Sio Kwaajili Ya Kuwaridhisha Watu Wa Nyumbani Kuna Somo Kwenye #ABEKE''