Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Lavidavi kinachoruka Wasafi FM, Diva ameeleza maisha yake ya kuanza kazi akiwa na umri mdogo.
Diva ameposti picha yake ya muda kidogo na kusema anapenda kuisumbua akili yake katika kutafuta maisha na sio zaidi ya hapo.
"Down memory lane hapo nilikuwa na experience ya kazi kwa miaka mitano na zaidi, told y'all ima hustler, nimeanza mdogo tu kutafuta maisha ya kupiga kazi si kudanga. I have nener ever kudanga, I just love to work, kusumbua akili napenda sana" amesema Diva.
Nafasi za ajira zilizotangazwa leo ingia HAPA
Ukiachana na Utangazaji wa Radio, Diva pia amewahi kufanya muziki, huku akipiga kolabo na wasanii kama Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Mwana FA na wengineo.
-