Gigy Money akataa kurudiana na Baba mtoto wake



Msanii Gigy Money amejibu madai ya taarifa za kurudiana na mzazi mwenzie Mo Jay baada ya kuonekana wakiwa pamoja na mtoto wao Mayra.

Gigy Money amekanusha hilo kwenye 'Insta Story' yake kwa kueleza hajarudiana na mtu hivyo watu wasidanganywe na trending za story hizo mitandaoni, kilichotokea ni Mayra alikuwa anaumwa na baba yake kaenda kumuona.

"Sijarudiana na mtu jamani, naona natrend huko wanawadanganya tu, Mayra anaumwa na baba yake kaja kumuona nimependa jinsi wamecoperate kwa hiyo sioni kama ni kosa, mniache". comment ya Gigy Money 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad