Haji Aendelea Kuwatesa Simba "Nimeongeza Kilo Tano Toka Nimejiunga Nao"


Katika kuendelea kuwaonesha Mashabiki zake kwamba anafurahia kujiunga na Club ya Yanga na kuwa Msemaji wake, Haji Manara ameendelea tambo zake ikiwa ni siku moja tu toka atangazwe kujiunga na Yanga.

“Jamani Mungu fundi nyie, siku moja tu nimeongezeka kilo tano ? yaani full kunenepa Wallah, isikieni hvyohvyo ndugu zangu ,Yanga raha sana, najiona mwepesiiiiiiii mashallah ! sijui nilichelewa wapi Bugati kuja klabu hii, Ahhhh Yanga Yangu” ——— asema @hajismanara

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad