Hatimaye Msanii Kanye West Ameachia Albam yake ya Donda..Ndani ya Dakika 90 Yashika Number moja




Hatimaye msanii @kanyewest ameachia albam yake ya Donda ambayo kwa mara ya kwanza ilitakiwa itoke August 5 mwaka huu.

Donda imewekwa rasmi kwenye streaming platforms hii leo na ikiwa na mikwaju 26. Kabla haijatoka imetengeneza zaidi ya billion 29 za kitanzania.

Habari mpya ni kuwa album hiyo imeenda namba moja kwenye mtandao wa iTunes muda mfupi dakika 90 tu baada ya kutoka.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad