IGP Sirro Atoa Tamko Kuhusu Mwili wa Hamza "Waje Wauchukue la Sivyo Utazikwa na Manispaa"


 

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro amesema kuwa ndugu wa Hamza Hassan Mohammed aliyeua askari wanne kabla yay eye kuuawa na polisi wanaweza kwenda kuchukua mwili wa ndugu yao.

Sirro amesema iwapo ndugu watachelewa basi mwili huo unaweza kuzikwa na manispaa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad