Je Askofu Gwajima Amejiuzulu Ubunge? Mwenyewe Afunguka Haya


"Kwenye kuchonganishachonganisha mwingine jana kasambaza kabango jamani Gwajima kajiuzulu Ubunge, mlikaona kabango kale? kauongo.. ka wale wachonganishichonganishi haina uhusiano"

"Uhusiano ni kwamba mimi ni aina ya Mtu ambae nikisema hivi leo, nitasema hivyo kesho, kesho kutwa wiki ijayo, nyinyi ambae mnabadilikabadilika na nyie mmebarikiwa kwa aina yenu, mimi sina uwezo huo" ——— asema Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambae pia ni Mbunge wa Kawe Dar es salaam. #MillardAyoUPDATES

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad