Kanye West usiku wa alhamisi ya august 26 alifanya album listening party ya DONDA na kuwashangaza wengi baada ya kujichoma moto, kufuta verse za aliyekuwa mhasimu wake Jay Z na kumuweka Da Baby, kubwa ni Kim Kardashian kutokea ndani ya shera na kumfuata Kanye kwenye jukwaa
VIDEO: