Mashabiki wa #Yanga wameamua kuruka uzio wa Uwanja wa Uhuru ili kuingia Uwanja wa Mkapa baada ya utaratibu wa kuingia Uwanjani kuwa mgumu kutokana na idadi kubwa ya Mashabiki kujitokeza.
Kaa karibu na Kurasa zetu za Kijamii kupata habari na Matukio yote ya Kilele cha Wananchi