SUPERBRAND & AKILI ZANGU ZA MCHANA LIVE!: THE ART OF PROPERTY TAX hapa Bongo inaitwa TOZO YA KODI YA LUKU ....Nimeona jana na Juzi Serikali yetu tena IKIINGIA KATIKA MTEGO WA KUJIBU MASHAMBULIZI YA KODI MPYA YA ARDHI KUPITIA LUKU ....Sometimes I get lost na hizi NEW IDEAS cause I am for PROGRESS Measures ila sina uhakika na hizi new THINKING ....NIJUAVYO DUNIA NZIMA ni kwamba "PROPERTY TAX" huwa inalipwa na MMILIKI WA ARDHI infact inayolipiwa ni KIPANDE CHA ARDHI iliyopo Nyumba sio Nyumba yenyewe HAPANA .....kama nimeielewa Vizuri huu ukataji wa KODI MPYA unawalenga WAPANGAJI WALIOKO NDANI YA NYUMBA ZAIDI kuliko mmiliki wa Nyumba hiyo hiyo na Ardhi yake kama .....like seriously sijawahi kusikia hii Kodi Duniani na sina uhakika imeigwa kutoka Nchi gani Duniani ....hii Kodi itakuwa inakatwa kila unaponunua Umeme now katika Jengo Moja matumizi ya umeme kwa Wapangaji hayawezi kuwa sawa so wanaotumia Umeme mwingi kuliko wengine ITAKUWAJE SI WATALIPA ZAIDI KULIKO WASIOTUMIA SANA? Mmiliki wa Jengo ana nafasi kubwa ya kukaa pembeni na kukwepa kulipa Kodi kwa sababu yeye sasa anakuwa kama ndiye Mkuu wa Ukusanyaji wa Kodi kwa wapangaji wake ....Unless I am missing something here WAJIBU WA KODI YA ARDHI ni wa MMILIKI wa Ardhi na Jengo lakini haiwezi ikawa wajibu wa WAPANGAJI haipo sawa kabisa .....Wapangaji wanamlipa Kodi mwenye Jengo au Nyumba na yeye ANALIPA PROPERTY TAX ....ULAYA NA USA ni wajibu wa Mmiliki kwa sababu ni lazima awe na MKOPO BENKI so asipolipa Kodi ya Ardhj kwa Miezi 2 tu huwa Benki inachukua nyumba na kesi ni kwa MMILIKI sasa kwa huu muundo inawezekana kabisa SERIKALI IKAMBANA MPANGAJI KULIKO MMILIKI haya ninasema ni MAAJABU MAKUBWA YA DUNIA ....SERIKALI ILIPASWA.KUWATUMIA WATENDAJI SERIKALI YA MITAA KUORODHESHA WAMILIKI WA MAJENGO NA KUKUSANYA KODI kwa WAMILIKI AMBAO WANATAKIWA KUIWEKA KODI HIYO KWENYE MALIPO YA KILA MWEZI .....Unless Elimu ya hii Kodi haijaeleweka vizuri ila kama NI KAMA NILIVYO IELEWA BASI YATAKUWA NI MAAJABU YA DUNIA KUMPIGA KODI YA ARDHI MPANGAJI WA NYUMBA BADALA YA MMILIKI NARUDIA NI MAAJABU YA DUNIA NA ONLY IN TANZANIA! NATEGEMEA ELIMU ZAIDI KUHUSU HII SYSTEM MPYA YA KODI YA LUKU Huenda kuna sometjing I am missing! @LEMUTUZ
Lemutuz "Hii Kodi Mpya Ardhi Sijawahi Sikia Duniani Kote, Wapangaji wanamlipa Kodi mwenye Jengo"
0
August 21, 2021

Tags