" Aisee kuna issue nimeelezwa kuhusu hii issue ya Mbowe.
Nachoweza kusema mimi ni tuwe na subra kidogo.
Nilibaki kidogo nigeuzie gia hewani ila nimeletewa information ambayo imenipa pause, inabidi nivute subra kidogo kabla sijakurupuka." Mange
Mange Kimambi Afunguka KESI ya Mbowe "Nimeletewe Information Ambayo Imenipa Pozi"
0
August 10, 2021
Tags