Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amethibitisha kutokea kwa mauaji ya askari wawili jirani na ubalozi wa Ufaransa
0Udaku SpecialAugust 25, 2021
BREAKINGNEWS Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amethibitisha kutokea kwa mauaji ya askari wawili jirani na ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salam yaliyofanyika na mtu mmoja ambaye inasemekana ni Msomali ambaye pia amefariki baada ya kutekeleza mauaji hayo.