Msemo wa Mzee Mpili wa maarufu kama “Sisi tuna watu” umekula shavu kwenye jezi mpya za klabu ya Yanga zilizozinduliwa leo ambazo zitatumika msimu wa 2021/22.
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa kutoka Tanzania, Sheria Ngowi ametumia ubunifu wa mwonekano wa watu wengi kwenye jezi hizo ikimaanisha msemo wa Mzee Mpili uliopata umaarufu mkubwa bongo