“Ujenzi wa mradi wa kimkakati wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) unaendelea vizuri na ujenzi wake umefikia 57%. Serikali kupitia TANESCO inaendelea kununua vifaa mbalimbali vya ujenzi vya kukamilisha ujenzi huo”
Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dodoma.