Mwanamuziki Profesa Jay Atoe Afafanuzi Issue ya Kuajirawa na Clouds FM "Ilikuwa Muda Mchache tu"


Watu wengi wananiuliza kama nimeajiriwa kuwa Mtangazaji wa @cloudsfmtz ? Jibu ni HAPANA, Bali clouds Fm walikuwa ni MAIN Media SPONSOR wetu kwenye matangazo ya Show yetu kubwa ya THE ICON ya mimi na @jidejaydee
Hivyo wakanipa nafasi ya kipekee kuweza kushiriki kwenye kipindi cha POWER BREAKFAST kwa siku chache ili tuweze kuitangaza show yetu ipasayo, Shukrani sana kwa @cloudsfmtz kwa HESHIMA hii kubwa nimejifunza Mengi sana katika muda mchache sana,
BLESS UP🙏🏻🙏🏻

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad