Kiufupi naweza sema mtoto kashakuwa, baada ya shabiki mmoja kumuuliza Paula kupitia Instagram kuwa "Unajua uchungu wa mume wew ila muonee huruma fahima umurudishie mume wake"
PAULA alimjibu hivi 👇
Cheti cha ndoa please.!
Akiwa na maana kuwa Fahyma sio mke halali wa Rayvanny na kama ni hivyo basi alete cheti cha ndoa
Rayvanny na Paula kwa sasa wanatoka kimapenzi na wameweka wazi penzi lao