Hayo ni maneno ya shabiki wa Yanga mbele ya makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo mitaa ya Jangwani akieleza kuwa wao kwa sasa hata aje PSG yenye Messi, Neymar na Mpappe kwa Mkapa hawatoki.
Shabiki huyo pia amekitaja kikosi cha Wananchi Yanga kitakachomgaragaza mpinzani wao Simba tarehe 25 kwenye ngao ya jamii