Web

Uchaguzi Zambia: Rais Edgar Lungu akubali kushindwa

Top Post Ad





Rais wa Zambia wa sasa Edgar Lungu amekubali kushindwa moja kwa moja katika runinga. “Nachukua furasa hii kumpongeza ndugu yangu Hakainde Hichilema kwa kuchaguliwa kuwa rais wa saba wa Zambia”
Bwana Lungu hapo awali alikuwa amedokeza kwamba atapinga matokeo ya uchaguzi baada ya kushutumu upinzani kwa ulaghai.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.