Unaambiwa Hadi Sasa Album ya Donda ya Kanye West Imeshaingiza Bilion 29 Kabla Haijatoka




Hadi sasa Albamu ya DONDA kutoka kwa msanii @kanyewest imefanikiwa kutengeneza mkwanja mrefu hata kabla ya kutoka kwake,ni kiasi cha dollar za kimarekani $12.75m zaidi ya bilioni 29 za kitanzania kimetengenezwa na albamu hiyo.

🔹Dollar 5.4m ni mauzo ya ticket ya listening parties mbili ukiacha iliyofanyika usiku wa kuamkia leo.

🔹Dollar 7m ni mauzo ya bidhaa zilizotokana na DONDA.

🔹Dollar 350k ni mapato ya streaming.

Albamu hii ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa shauku na mashabiki wa muziki sehemu mbalimbali za ulimwengu inatarajiwa kutoka tarehe 5 mwezi wa tisa.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad