VIDEO: Nandy afunika Wiki ya Mwananchi, haijawahi tokea, levo za Michael Jackson

Msanii wa Bongo Fleva @officialnandy amewashtua na kuwashangaza wengi mashabiki na wanachama wa Yanga kwa kuingia Uwanja wa Mkapa kwa staili ya kipekee na kufanya ‘Show’ iliyowavutia waliyowengi. @officialnandy aliingia Uwanjani akiwa ndani ya ‘BOKSI’ huku akibebwa na mabaunsa walioshiba hasa kutokana na ukubwa wake .


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad