Afrika kuwakilishwa na Tems kwenye album ya Drake




Baada ya kuapata umarufu mkubwa na kutambulika vizuri kwenye soko la muziki wa Afrika,mwanadada anaye chipukia Kwa sasa kutokea Nigeria Tems amepata nafasi ya kungana na mastaa Kama Jay z,Future, pamoja na Young Thug ambao wameshirikishwa kwenye album ya Drake itakayo toka kesho Septemba 3,


Tems amabye umarufu wake umezidi kukuwa baada ya kushirikishwa kwenye ngoma ya ESSENCE kutoka Kwa Wizkid,Ngoma ya ESSENCE imesaidia Kwa kiasi kikubwa Tems na huwenda ikiwa ndio sababu ya yeye kupata nafasi ya kushirikishwa kwenye album hiyo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad