Aliyezikwa na Pikipiki yake “alisema akifa azikwe nayo, Jeneza la Kioo”




Unaambiwa sio ajabu kusikia Mtu anasema akifa azikwe na kitu flani, hiyo ilitokea kwa Billy Standley wa Ohio Marekani ambae alipenda sana michezo ya kuendesha pikipiki na wakati wote alikuwa anawaambia Rafiki zake kuwa anatamani azikwe akiwa juu ya pikipiki yake aliyokuwa anaipenda sana.

Billy ambaye alizaliwa Mwaka 1931 alifariki Mwaka 2014 ambapo Rafiki na Ndugu zake walitimiza ahadi kwa kumuweka juu ya pikipiki ndani ya jeneza lenye kioo na kila Mtu akawa anamuona.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad