Aliyekuwa mke wa Ben Pol, Mjasiriamali na ni mwanamitindo tokea nchini Kenya @anerlisa kupitia "Insta Story" yake masaa kadhaa yaliyopita ameandika maneno yenye malalamiko yaliyotokana na kubezwa na Watanzania juu ya umri wake.Kupitia insta story ameandika haya:•
“Watanzania wanapenda kunitusi na kuniita mzee mara kwa mara,lakini naliacha hilo lipite kwasababu nitapendelea siku moja wasapoti biashara zetu”- Ameandika Anerlisa
CR:Anerlisa ni mmiliki wa Bidhaa mbali mbali ikiwemo Kampuni yake binafsi inayoitwa Nero Limited inayojihusisha na utengenezaji wa maji ya kunywa nchini Kenya, amezaliwa mwaka 1988,umri wa miaka 33 na anakadiriwa kuwa na utajiri wa Billion 1Ksh. Sawa na billion 21,435,395,900.00Tsh
NENO MOJA KWA ANERLISA