Nilihitaji wiki sita (6) za maandalizi kwa ajili ya msimu wa mashindano lakini tumejiandaa kwa siku 25 tu. Siku 25 kwa maandalizi ni chache kwa sababu kuna program nyingi za kufanya.
Wakati tunarejea Tanzania [kutoka Morocco] wachezaji wengi waliondoka kwenda kwenye timu zao za Taifa.
- Nabi Mohamed, Kocha Mkuu Yanga.