Breaking News:MO Dewji Abwaga Manyaga Simba




Bilionea Mohamed Dewj 'Mo' amejiuzulu kwenye nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya @simbasctanzania

Mo atabaki kwenye nafasi ya Muwekezaji wa klabu hiyo
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad