Rapa anayefanya vizuri kwa sasa duniani @dababy ameamua kuitumia beat ya @wizkidayo #ESSENCE kwa freestyle
Ngoma hii ya @wizkidayo #ESSENCE imepata nguvu sana diniani baada ya @justinbieber kuwekwa kwenye #Remix ambapo amemuweka pia @temsbaby pia kutoka Nigeria.
Ikumbukwe kuwa siku ya jana mtandao wa @shazam uliweka kuwa #ESSENCE ndio wimbo namba moja unaotafutwa sana kupitia mtandao huo nchini Marekani.
Dondosha comment yako hapa chini tuambie jamaa kwa rate ya ngapi kati ya 10/10…?