Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema inaangaliwa namna ya kutoza Kodi kwa Huduma Zinazotolewa Mitandaoni
Amesema kwasasa Huduma na Biashara nyingi zinaamia mtandaoni hivyo kuna haja ya kukusanya kodi kutoka kwenye biashara hizo ambazo kwasasa hazitozwi Kodi
Amesema inaangaliwa kutoka kwa nchi nyingine ambazo zimefanikiwa kwa kutoza kodi za aina hiyo