Female Rapper Rosa Ree Atamani Kuitwa Mama Baada ya Kuvalishwa Pete, Mtangazaji wa Wasafi Ashtukia Kitumbo
0Udaku SpecialSeptember 27, 2021
Female rapper mkali kwa michano kutoka kiwanda cha muziki wa BongoFleva @rosa_ree ameweka wazi matamanio yake ya kutaka kuwa mama.
Roza ambae kwa sasa yupo katika mahaba mazito amefunguka hayo katika kipindi cha BigSundayLive kinchorushwa na Wasafi tv baada ya Mtangazaji wa kipindi hicho kushtukia kuwa kitumbo cha Rosa Ree Kimekuwa Kikubwa ila Rosa REE Alikana kuwa hana Mimba kwa kueleza kuwa kama mipango ya Mungu ikitimia, bhasi angependa kua Mama.