Fred Vunja Bei "Tunazindua Jezi Zetu Tarehe Nne, Jezi Zetu ni Nzuri Unaweza Toka nazo Hata Mitoko"



Mkataba wetu ndio mkataba mkubwa zaidi wa kutengeneza jezi Afrika Mashariki na Kati. Biashara ya jezi ni kubwa.

Hakuna design yoyote ambayo mpaka sasa imeonekana mtaani (hazijavunja), tunataka jezi yetu ionekane kwa machoni kwa watu kwa mara ya kwanza siku ya uzinduzi.

Uzinduzi utafanyika Jumamosi September 4 kuanzia saa 1:00-3:00 usiku. Kutakuwa na wageni walioalikwa, haitakuwa kwa kila mtu wengine watafatilia kupitia luninga na mitandao ya kijamii.

Jezi yetu ni nzuri tumeangalia mambo mengi, tumezingatia ubingwa, fashion ili mtu avae hata akitaka kwenda maeneo mengine.

Zitaanza kupatikana kwenye maduka ya Vunjabei siku hiyohiyo jezi zitakapozinduliwa.

- Fred Vunjabei [@fred_vunjabei]  

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad