"Nimechelewa sana kusikia taarifa za huu msiba wa mzee wetu Zacharia ,,,
Imenifadhaisha sana na imeniondolea Mood yangu,,,,
Kwangu alikuwa Mwanamichezo halisi shupavu na ameacha pengo kubwa Kwa mpira wetu na klabu yake Kwa ujumla,,,
Pumzika Kwa amani Captain"