Haji Manara Amtupia Dongo Morrison "Nimemiss Comments zako Katika Page yangu"


Hajismanara ameandika haya katika page yake:

"Benadi nimemiss Comments zako ktk Page yangu
Hebu tupe Comment kuhusu Mwamedi kuumwaga,,,nn Shida?
Mayele au B Ishirini za Chupli Wajumbe wa Bodi wameanza kuhoji?
Najua wametaka kujua zimewekwa Benki gani na Mwamedi kachukia kuulizwa,,,,
Benadi hebu tujibu basi fasta,,,,
Benadiiiiiiiiiii 🤪🤪
@bm3gh" Manara
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad