Now naweza kufanya kazi zangu bila Presha yoyote,,kundi hili nnalofanya nalo kazi Kwa sasa wala situmii nguvu kubwa,,,ni kuwakumbusha tu !!
Angalia siku ya Wananchi,,wala hawakuhitaji kituo kizima cha Redio kifanye Promo ya Mechi wala hawakuhitaji Wasanii hadi waende matawini kuhimiza Washabiki,,,,
Hawa ni Die hard fans wa Mabingwa mara 27 wa Taifa hili Adhimu,,,,najivunia kuwa sehemu ya wafuasi wa club hii,,,always ntawatumikia Kwa weledi mkubwa
Press moja na media tour ktk vituo viwili wamejaa kibao..
Yanga Africa Wallah mnanipa raha na mtaifanya kazi yangu kuwa very Simple,,,kule Kwa Makolo hadi mishipa ya Shingo ilikuwa inataka kukatika...
Sijui nilichelewa wapi kujiunga na club hii ya Moyo wangu.
@yangasc