Hakuna Kupoa Harmonize Atangaza Siku Atakayoachia Album yake


Ni headlines za mwanamuziki kutoka TZA Tanzania🇹🇿 @harmonize_tz, akiwa nchini Marekani ametangaza mwezi October kuwa mwezi atakao achia Album yake mpya.

Hata hivyo bado haijafahamika ni album gani atakayo iachia huo mwezi, kufuatia Hivi karibuni msanii huyo anae wakilisha mkoa wa mtwara alitangaza kuanza maandalizi ya album yake nyingine aliyoipa jina la #ArizonaTheAlbum ,huku pia akitaja kukamilika kwa album yake ya #Highschool.

Harmonize tayari ana album moja sokoni ya #AfroEast iliyotoka 14 March 2020 ikiwa na jumla ya mikwaju 18.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad